Chitaki Lyrics » Diamond Platnumz

Chitaki Lyrics » Diamond Platnumz : The Chitaki Lyrics / Chitaki Song Lyrics by Diamond Platnumz is the Latest African (Swahili) Song of 2022. The Chitaki Song is Sung by Diamond Platnumz. The Chitaki Song Music is Given by Diamond Platnumz & The Lyrics is Written by Diamond Platnumz. The Chitaki Song is Released on 23rd December, 2022. The Chitaki Song is Presented by Diamond Platnumz.

Chitaki Song Details :

Song Title Chitaki
Singer Diamond Platnumz
Music Diamond Platnumz
Lyrics Diamond Platnumz
Release Date 23rd December, 2022
Language African (Country : Tanzania) | Rock
Label Diamond Platnumz

Chitaki Lyrics » Diamond Platnumz

We Ndo Kitumbua,
We Ndo Sambusa..
Basi Njoo Unichumu Baby,
Ndio Tuseme Umesusa..

We Ndio Mwisho Wa,
Reli Kwako Nimeweka Nukta..
Walokuambia Nala,
Zuchu Sio Kweli Wanazusha..

Wanaokaa Vikao Sisi Kutujaji,
Wape Pole Yao Wanatwanga Maji..
Na Waongeze Bidii Kwenye Urogaji,
Tuko Ten Gb Penzi Ful Charge..

Fanya Wainamaa Wainuka,
Kiguu Kinyanyue Kama Unatupa..
Yani Wainamaa Wainuka,
Kiguu Kinyanyue Kasha Weka Nukta..

Mi Kuachana Na Wewe,
Aku Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki Mi..

Kuachana Na Wewe,
Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki Mi..

Mchana Nikupe Tango,
Usiku Ndizi Swadakta..
Tuanze Fanya Mambo,
Kabla Umeme Hawajakata..

Mapenzi Mwenzie Kiwango,
Na Umejaaliwa Talanta..
Na Unanijua Kwa Jambo,
Hatoki Mtu Kwa Mkapa Ee Aah..

Amuli Chichichi,
Amuli Chachachacha..
Kamoyo Tititi Nimeozaje Sasa,
Amuli Chichichi,
Amuli Chachachacha..
Kamoyo Tititi Nakuacahje Sasa..

Wanaokaa Vikao Sisi Kutujaji,
Wape Pole Yao Wanatwanga Maji..
Na Waongeze Bidii Kwenye Urogaji,
Tuko Ten Gb Penzi Ful Charge..

Fanya Wainamaa Wainuka,
Kiguu Kinyanyue Kama Unatupa..
Yani Wainamaa Wainuka,
Kiguu Kinyanyue Kasha Weka Nukta..

Mi Kuachana Na Wewe,
Aku Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki Mi..

Kuachana Na Wewe,
Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki..
Chitaki Chitaki Mi..

Chitaki Lyrics » Diamond Platnumz

Written by : Diamond Platnumz

Chitaki Lyrics » Diamond Platnumz » Official Music Video

If You Love “Chitaki Lyrics » Diamond Platnumz“, Then Please Do Not Forget To Share It To Your Friends On Social Media. A Share From You Will Inspire Us To Bring You New Song Lyrics.

If You Want To Read The Lyrics Of Any Of Your Favorite Songs, Feel Free To Contact Us By Filling The Contact Us Form. We Will Try Our Best (24/7) To Bring You The Lyrics Of Your Favorite Song. Keep Enjoying New Song Lyrics With Lyrics Over A2z. Have A Very Nice Day!

 

Thank you for reading this on Final Lyrics Hope You like the article, Do share on social media like Facebooktwitter etc.

Leave a Comment